Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
'meeeeen
acha mambo ya kuigameeen....
Ule usemi kuwa hakuna nchi ya ulaya iliyowahi beba kombe kutokea nchi ya Amerika unataka kujidhihirisha tena,nasikia Brazil haijawahi beba kombe kwenye ardhi ya ulaya!hii story za vijiweni sijui ni za kweli?