Nah..I'm not banking on the US to go all the way just yet. But I think they will be better than they were this year.
On the other hand, be on the lookout for an energized, highly motivated Brasil out to prove a point and reclaim its lost glory and get back in the pantheon of the world's greatest.
We already have the blueprint for success so I don't expect the rebuilding to be that long.
Come 2018 we'll be ready to take on the world and show them how the game is supposed to be played.
Watch this space my hitta!
Kweli unazi unapofusha...Brazil walishindwa kuwika kwenye uwanja wao wa nyumbani mwaka
1950 baada ya kutandikwa na Uruguay kwenye fainali. Toka wakati huo, Brazil iliapa kuwa hawatakubali tena kufungwa mbele ya mashabiki wao na kweli kwenye mashindano ya awali ya
WC2014 walionesha kwamba safari hii, baada ya
miaka 64, wamepania.
Kabla hizi finali za mwaka huu hazijaanza hakuna timu iliyoonekana
as highly energized, highly motivated and out to prove a point and reclaim its lost glory and get back in the pantheon of the world's greatest kama Brazil. Kama si kutandikwa na Ujerumani katika semi fainali, hakuna mtu angeweza kuidharau!
Lakini facts are facts; ukweli ni ukweli...Brazil hawakuweza kutwaa kombe hili mwaka
2006,
2010 na mwaka huu
2014, wamejikuta wanyonge mbele ya timu ambazo awali hazikupewa nafasi kubwa kama wao, sasa nabaki najiuliza kwa nini mtu awape nafasi kubwa namna hiyo mwaka
2018?
Je ni wao tu wana kiu ya ushindi kuliko wengine? Wana resources kuliko wengine? Wana afya kuliko wengine? Wana teknolojia kuliko wengine? Wana organizesheni kuliko wengine? Wana utajiri kuliko wengine? Why, why, why? Je wakati wanafanya mikakati hao wengine watakuwa wamelala wanauchapa usingizi?
Unazi tukubali ni mbaya na unapofusha. Ni kitu gani kipya watakifanya ambacho nchi zingine haziwezi kufanya na hivyo kuwapa upendeleo wa pekee? Kwa nini wako watu hata baada ya Brazil kuvuna gunia la magoli mbele ya Wakoloni bado waliendelea kuamini itaonesha maajabu katika mchezo unaofuata?
Ndugu zangu, mapenzi ni kama wingu jeusi lililotanda mbele ya macho ya mhusika lakini kwa mtu kuwa na mapenzi kiasi hicho mbele ya timu ya wengine, hapana; si heri mimi ninayeshabikia timu yoyote ile inayoshinda!
Sipati presha kwa sababu kila mechi naibuka mshindi tu...fuateni ushauri wangu huu!