World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Duh Hapa katavi umeniua......hatuwezi tukafanya maarifa uamie jirani pale darajani....au nenda kwa wale "ma-ibilisi" sijui wanawaita mashetani....

Ha ha haha haaaah,,,,,mkuu mimi nipo arsenal muda mrefu, pitia kwenye ule uzi wetu utaniona.
 
Mkuu ni wiki hii mnaanza kucheza mechi za qualification za CL au?
Mnaanza na Red Brigade ya Balkan State au na Brondby ya Denmark au Parma ya Italy?
Gangamala mkuu mnaweza mkatoka msi ionje CL ehehehehe

Huko lazima tupete kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…