why Welbeck wangetoa Steven Gerrad
Beki ya Italia inamfanya Rooney aonekane kama Mwaikimba
tungekuwa tunaongelea dazan ya magoli....teh!!
Hawa Italy wanataka kuniharibia starehe. Fungeni la tatu kelele ziishe.
Hawa Italy wanataka kuniharibia starehe. Fungeni la tatu kelele ziishe.
zina karibia nduguAcha kujifariji, subiri dak 90 '
Wakikutana team yenye van P, roben ni majanga
Wanambwela kweli mkuu,sijui wakoje!