World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ungemchukia DonDonald mkalale yeye bado nakubali matokeo Mie nishakubali naanza kufikiria timu ya kushangilia sasa ila najipa muda dah sijui Daily Mail walichoandika hawachelewi kuandika Hudgson afukuzwe katumia muda mwingi kukaa kwenye kiti.

Mchukue wewe huku vitanda vimejaa
 
Tusubiri lakini nahisi balaa huko mbele.

Uchida, Kagawa, nagatomo, Honda...... Sijui Suzuki atakuwepo au kastaafu.

Honda anatisha usishangae mara hii wanatutilia mtu mpya anaitwa bodaboda maana hawa nao mana inamoto nakata natakahara lol
 
Ikumbukwe. Kocha wa England ndiye kocha anayelipwa pesa nyingi kuliko makocha wa timu zote za Taifa zinazoshiriki World cup 2014.
 
Huyu jamaa kichaka mno. Hata mimi kilaza namzidi kupiga corner. Ila ana bahati ... angekuwa mweusi akingepata namba tena!
 
Sana imekaa kushoto inatufanya, day and night kuwa macho. In the name of football kiukweli nakesha leo.

We acha tu dada,ushabiki kama tu ulevi wa mihadarati!Ikiisha game hii nalala kama gogo!!Toka nitoke job sijalala
 
Honda anatisha usishangae mara hii wanatutilia mtu mpya anaitwa bodaboda maana hawa nao mana inamoto nakata natakahara lol


Wala hujakusea labda yamaha maana ndo yao bodaboda yetu huku.

Nimecheka sana majina ya wajapani ni hatareeee
 
Mechi si inaanza baada ya nusu saa? na bado uwanja mtupu mhh, labda kama picha walizokuwa wanaonyesha zilikuwa ni za zamani kidogo
mkuu hizo dalili inaonekana umechoka ila ubishi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…