World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

waafrika concentration Inakuwaga mbovu
Leo angalau nimelala mchana Kama enzi za DonDonald utotoni mwake tulikuwa tukimpitia tukacheze mpira wafanyakazi wao amelalaaaa lazima alale mchana au utawasikia wanamwambia hakuna kutoka Mama akirudi tutamwambia unacheza na hao watoto watundu Kumbe yeye ndio akiweza kutoroka ndio yeye mfundishaji Fujo Sema mitaa yetu alikuwa anaogopa kufika.
 
Japan funga Ivory cost goli 2 kupitia Honda.
 
hii mechi kati ya ivory coast na japan ndo itakuwa draw ya kwanza ktk world cup hii
 
nilikuwa sijui itabidi nichukuwe tuition toka kwa bantu lady
Bantu lady unaruhusu aje Rubaman tuition ya soka bado sheria za kona Kuwa offside zinampa tabu game Boring zengine bora mmoja afunge goli.
 
Tangu mashindano yaanze sijamsikia Balantanda,,,,,,,,sijui kajifungia wapi huyu mzee wa Emirates...!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…