Mimi si fan wa cote devour lakiNi walicheza vyema na wanaweza fika mbali kabisa.Niwarudishe nyuma kidogo wadau.
kwa kiwango kile cha Cote devour, wanaweza wakafika robo fainali kwali?
Chief, check this out:
My Football Facts & Stats | England National Team | World Cup Record
NB: England won the WC in 1966 by beating West Germany 4-2 in the Final.
Bantu lady, Ecuador wana shinda.Switzerland 2 - Ecuador 0.
Uswiss wanalala leo.
Bantu lady, Ecuador wana shinda.
Player to watch- Xherdan Shaqiri
Niwarudishe nyuma kidogo wadau.
kwa kiwango kile cha Cote devour, wanaweza wakafika robo fainali kwali?
naona wakes haji wenzangu tumerudi Leo sijawahi kulala na kuchelewa kuamka Kama Leo hii game Ecuador anashinda Jefferson Moreno ni mkali New Valencia 2-1.Bantu lady, Ecuador wana shinda.
Jefferson Montero.Player to watch-ANTONIO VALENCIA.
naona wakes haji wenzangu tumerudi Leo sijawahi kulala na kuchelewa kuamka Kama Leo hii game Ecuador anashinda Jefferson Moreno ni mkali New Valencia 2-1.
Tunapata burudani safi sana ila balaa la kukesha....! Leo mechi ya saa saba siiangalii nisijekuharibu kazi za watu bure.Wakeshaji wengine huko hoi, mimi nililala nimeamka mchana fresh kabisa. Uswiss natupa karata yangu.