World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hakuna draw hapa ushindi kwa Switzerland.....
Hao waswis hawawezi kufuA dafu mbele ya wanywa kahawa labda waToe draw! TATIANA andaa ambulance yenye uwezo wa kubeba watu zaidi ya wawili.
 
Last edited by a moderator:
Daa mtani na Katavi nawa onea huruma sana leo hawachonoki lazima waleweshwe vikombe vya Robusta hapa.
 
Last edited by a moderator:
Yaah watu walijiandaa hakuna cha majina makubwa.

Kwa hiyo mtani una maanisha Ghana atapita kwenye kundi lake?

Mtani pamoja na Ghana kuwa kundi la kifo, itafanya maajabu na WC hii si nchi moja ya Afrika itakayosonga zinaweza kuwa mbili. Ni muda na kuwaombea.
 
hahahaha Mtani najua ulianza kushangilia hahaha
 
Amen Amen

Ni kweli TATIANA Kama spain anapigwa tano, Uruguay anapigwa tatu na Costarica. ivory cost anatoka nyuma na kushinda mbili moja dhidi ya Japani nini kitatushinda kupeleka timu moja kati ya tano nusu fainal.?
 
Last edited by a moderator:
Swiss goli lile limekataliwa ni goli lime gonga mtu wa Ecoudor .
 
Shaqiri umefanya la maana to lose that golden opportunity
 
Mtani pamoja na Ghana kuwa kundi la kifo, itafanya maajabu na WC hii si nchi moja ya Afrika itakayosonga zinaweza kuwa mbili. Ni muda na kuwaombea.
Mtani kweli tuwaombee lakini mimi siweki matarajio makubwa kwao
Nisije nikabebwa kwa machela...
Naona mnakoswa hapa.
 
Daaa ngoma hii nzito sana, hadi sasa sijaona timu rahisi kwenye WC
 
Ni kweli TATIANA Kama spain anapigwa tano, Uruguay anapigwa tatu na Costarica. ivory cost anatoka nyuma na kushinda mbili moja dhidi ya Japani nini kitatushinda kupeleka timu moja kati ya tano nusu fainal.?

Kikubwa ni kujituma tu na wawe motivated...kila kit knawezekana chini ya jua...angalau watutoe kimasomaso
 
Last edited by a moderator:
TATIANA, huyu kijana aliye ingia ni hatari ataniulia mtani daaa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…