TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,690
- 2,433
Wai kabisa maana naona dalili ya goli hapa.
But mmh mtani wako yupo ngangari..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wai kabisa maana naona dalili ya goli hapa.
Hahhaaahaaa....nashukuru kwa kunisahihisha...hujambo lakini?
Mtani una bahati sana daaa naona umekaribia kupata suluhu.Hahaha wewe na mtani wangu presha zinawapanda mlopo huko. Mlijua Uswiss ni uchochoro eeh, hii ni njoa ya magari yaendayo kasi.
Mzima..hivi Unajua Bantu lady ni wifi yako?
Mzima..hivi Unajua Bantu lady ni wifi yako?
Nime wambia vijana wasimfunge waache hii drawHahahaa...natamani mpira uishe maanaaa
#teamGhana # #black stars#
Huwezi amini siku hiyo Ruttashobolwa atakuwa #teamUSA # mi ngachoka kabisa na mtani wangu.
Hawa equador kama taifa stars tu, wameridhika mapema...
Hii kweli droo ya kwanza ya world cup kama ulivyotabiri....Nime wambia vijana wasimfunge waache hii draw
Daaa wanakoswa hapa