Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikitoka 2-2 nipe Life BanHii mecho wanatoka draw ya 2-2
ubaguzi tu nataka kuendekeza Hondorus wote weusi jamani tuwe na Hondorus Ndugu zetu wengi kushinda ufaransa tehtehteh tuendelee kujidanganya France anashinda 3-1 sijui Bantu lady anasema je?
Tena kwa ----- wanatuuzi wengi alafu ndio watu wanataka tushangilie Ndugu zetu Hondurus? Bora nishangilie Pogba mama yake alipata mimba akiwa Holiday Tanzania tehtehteh.Haya jamaa ni ya kuchapa viboko.
Naiweka katika rekodi hii comment....Ikitoka 2-2 nipe Life Ban
He TATIANA ati mali!
Hahahahaahaaa....mna vichekesho humu
Tupo pamoja.Pamoja hapa #teamFrance #
Ikitoka 2-2 nipe Life Ban
Jamiiforum Kama mlifikiri nimetukana sorry ila inabidi nisiunganishe neno majani ya U Pu Pu.Tena kwa ----- wanatuuzi wengi alafu ndio watu wanataka tushangilie Ndugu zetu Hondurus? Bora nishangilie Pogba mama yake alipata mimba akiwa Holiday Tanzania tehtehteh.
Mkuu, mwenzetu Bantu lady hapendi shida namapressure, hawa ndugu zetu nikero na karaha.
Bora kuishangilia France kupunguza machungu,
Hawa Equador ni ndugu zetu wadamu, simumeona hata tabia za kijingajinga tulizonazo nawao wanazo 100%
Hivyo rangi yetu hii ni balaa.
Eq 1 - swi 2
Kweli sisi ni wao.!!EQ wapumbavu sana. Ni wachezaji wajinga wajinga mno....
Naiweka katika rekodi hii comment....