daaa ufaransa wanatumia nguvu nyigi naona wanataka kupigana hapa
hii midfield battle kati ya paul pogba na wilson palacios leo si mchezo
Sijui asili yake wapi huyo Pogba...pogba ana hasira huyu jamaa asili yake wp wakuu?
mganga wa buguruni yule
saa nyingine waafrika tunakuaga mafala sana mani....,ner
unamloga yule ili
alakua anatafuta wateja
hili kombe mwk huu burudni tosha,
pogba ana hasira huyu jamaa asili yake wp wakuu?
Halafu mkongwe Frank Ribery yupo wapi?naamini angechangamsha gamePole sana, kuwa tayari kwa lolote
Viteam vidogo vimeamua sasa
hii mechi ya sasa ina presha balaa...
Afu pogba ana damu ya bongo kabisa hii rafu aliyocheza inarandana na boban
Wote tu watachoka maana naona wanatumia nguvu nyingi sana.wasipotumia hii nguvu yao vzr france watachoka gemu itawageukia
Huu ndio mpira bhana.Mpira unachezwa wa nguvu sana na wa kasi, umekuwa mtamu kuuangalia. Kila timu inajiamini na kutafuta goli la mapema ndipo hapo nyasi zitakapowaka moto.
Asili yake ni Guinea, bado utoto unamsumbua ni wa 1993.
Beckham alipewa Red Card 1998 World Cup kwa kulipiza kisasi kama Pogba alivyofanya.