Afu pogba ana damu ya bongo kabisa hii rafu aliyocheza inarandana na boban
pogba ana hasira huyu jamaa asili yake wp wakuu?
Halafu mkongwe Frank Ribery yupo wapi?naamini angechangamsha game
Usingizi ulikuwa unaninyemelea lakini kasi ya mpira imekata kabisa usingizi.Huu ndio mpira bhana.
Halafu mkongwe Frank Ribery yupo wapi?naamini angechangamsha game
Wote tu watachoka maana naona wanatumia nguvu nyingi sana.
Pogba ilimstahili "Nyekundu"
hawa honduras kumbe nao wapo fiti jamani