World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Penalt na nyekundu juu duh Palacio ameanua jamvi wakati tulitaka tukae tupige soga!
 
Merci Benzema,afadhali sasa mpira uchangamke,Pogba na yeye afunge sasa
 
Kwa Mara ya kwanza penalty ya halali imetokea
Jamani utabiri wangu was hat-trick ya kwanza WC unaanza kujongea taratibu
 
Hii mechi mbona ina kadi nyingi namna hii.....!!
 
Ilikuwa busara kwa coach kumuacha Palacios aendelee ku-mark pogba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…