Msimu ujao lazima atue Manchester United.Muller the unstoppable machine ndani ya nyumba.
Msimu ujao lazima atue Manchester United.
game ngumu sana kuitabiri ila mkoloni wetu nampa nafasi ya kushunda...
Msimu ujao lazima atue Manchester United.
Hahahaah,,,,,,mbona leo muoga namna hiyo?Sitaki presha miye, kwenye mechi hii sina team. Nitaangalia mpira kwa raha.
Mama dunia jeuri ta pesa hiyo. Matumizi ya ya tajiri maskini ni maringo na dharau.
Mkoloni wetu aka mjukuu wa Carl Peters lazima ashinde, wanakosakosa goli G hapa
Kuna Alshabab kwny kikosi cha Ureno