Tangu lini ukashabikia nyeusi?tatizo la Nigeria huwa ni kwenye kumalizia.
kani wao ni wapemba..
iran sio waarab pure, lugha yao ni farsiKumbe wimbo wa taifa wa Iran siyo taarab!!
wana jitahidi sana.Super Eagles wakiendelea hivi watafika mbali
Yaap ... washirazi wa Pemba asili yao ni Shirazi (Iran)
Iran anashinda 2-1
Kwa kweli speed ya Nigeria nimeipenda sio kama ivory Coast na Cameroon speed ilikuwa ndogo mno as if unaangalia mechi ya Taifa stars
Hawa almost wote wanatoka Southern Nigeria (siyo Boko Haram) .. nimeona walikuwa wanakemea mapepo kabla mechi haijaanza!Naogopa kushabikia Boko haram, mi teamIran
bora mpira huu mzuri na una furahisha! Mtani tuko pamoja leo.