Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
1994
2014
Nigeria wanabadilisha mchezaji wa 4....Loh utafikili kikosi cha majaribio?
Hawawezi fika popote michuano hii.Kabisaaa...no tactics...ni kukimbiza tu
Tumpate wapi Kanu wa leo, wapi Sunday Olise wa leo? Wapi JJ Okocha wa leo???????[/QUOTE
Amokachi...Amunike...Okpara...Babayaro...Ukechuku...Taribo...Oliseh to mention a few.
Hawa wa sasa takataka tu.
Ureno kafumuliwa badala watumie chance... wanaleta mchezo!
Hawa Nigeria wa miaka hii ni tofauti na kina Amokachi, Yakin, Okocha,Amunike kulaleki vile ndo vilikuwa vifaa mtu unaukuwa na uhakika wa entertainment games na ushindi. Hawa ni Oyoyo na yori yori tupu.
1994
2014
Gooooooo....noooo Iran wameamka vilivyo..chochote kinaweza kutokea...