World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Huyu Pepe ni mjinga kama Wanigeria hawa.
 
Reactions: BAK
Pamoja ya kuwa Nigeria ni wachovu, huyu refa naona ameharibu pale, haikuwa handball ni shoulder ball toka kwa Odemwingi
 
Facts:

Hi ni mechi ya kwanza kwenye kombe la dunia isiyokuwa na Man of the Match!!!!
 
Yaani kuishabikia nigeria ni kujitakia preasure, wanacheza kama manyumbu vile!!!!!
 
Kipindi cha kwanza nilisikia uwanja ukiwashangilia Nigeria kila wanapokua na mpira.kipindi cha pili wanawazomea.well done mashabiki.we share the same feelings.bora kuwazomea tu hawa wazee wa posho.wachezaji hawana uzalendo halafu wanataka mashabiki tubaki tunawashangilia?no.hawa si waafrika tuwaonao ulaya wakicheza soka nzuri?.hapa wanajichezea tu kutimiza wajibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…