World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Duh! Hawa Iran wamekuja kukaba tu naona! Timu kama Iran hazistahili kuwepo WC!
 
Kitoabu naomba utuache tuendelee kushabikia wazungu ambao ni wazalendo na mataifa yao,it makes sense kuliko kushabikia mwafrika asiye mzalendo kwa Africa,hajali uwepo wetu viwanjani na nyuma ya tv zetu kumshabikia.stupid kabisa.nimechukia kweli bora nisingetazama upuuzi huu.
 
Last edited by a moderator:
kaharibu nini wakati odemwingie alishapiga nje!

Alipuliza kabla ya Ode mwingie kupiga nje.... Nakubali labda angekosa hata bila kipyenga kupulizwa. Lakini haikuwa handball ile
 
Daah Boko Haram hawa naona wajiandae kurudi kwao tu wakatafuta wale dada zao waliotekwa
 
Timu za africa mpaka sasa ni bora ya cameroon japo walifungea ila bdo nna imani nao.
 
yule striker wa nigeria anayeitwa Emenike ni kama Mwaikimba aisee.
Ni wachezaji wawili tuu ndio angalau walicheza mpira, ni Obi Mikel na Odemwingi tuu.
 
Nadhani safari yao itakuwa imefikia ukingoni.
Hakuna timu wataweza kuifunga tena
 
Kweli USA ni wachovu,kumbe wameajiri kocha asiye mmarekani,Klinsmann mjerumani ndo kocha wao,hii huwezi ikuta France,German,Italy,Holland na Spain
 
Effe Ambrose,Odemwingie,obi mikel,victor moses,emenike,ameobi,ahmed musa,hawa watu waangalieni wachezavyo ulaya,ndio hawa wa leo?nimechukia sana msss!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…