World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

ovyooo bokoharam, ngoja black mamba watutoe kimaso maso leo
 
ovyooo bokoharam, ngoja black mamba watutoe kimaso maso leo

Nilichogundua mimi ni kwamba usiiwekee matumaini timu yeyote ya Afrika, kama ikitokea wakifanya vizuri ni good news, lakini kwa faida ya afya yako ni bora usiwe na matumaini yeyote.
 
yule striker wa nigeria anayeitwa Emenike ni kama Mwaikimba aisee.
Ni wachezaji wawili tuu ndio angalau walicheza mpira, ni Obi Mikel na Odemwingi tuu.

Labda Odemwingie.huyo Obi alikuwa na bidii lakini alikuwa akipiga mipira isiyokuwa na effect uwanjani.pasi zake nyingi zilikuwa za kutanua uwanja badala ya kupenyeza mipira ndani ya box ya adui au kutafuta forwards au kukimbia mwenyewe mbele ili kutengeneza ukaribu na forwardline yao iliyokuwa haifunguki kabisa leo kutafuta mipira.unatanuaje uwanja huku adui akiwa hafuati mpira,kakaa ndani ya penalt box yake hatoki?ni kupoteza muda tuu,badala yake alitakiwa kupress forward kwa penetrating balls au long balls juu,au kuingia mwenyewe ukicheza one two na forwards.alitakiwa kujenga mashambulizi na sio kuhold tu.ila simlaumu sana dogo kaharibiwa na Mourinho
 
Pamoja na kuzidiwa but wametoka draw!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Duh! Hawa Iran wamekuja kukaba tu naona! Timu kama Iran hazistahili kuwepo WC!

Kwa nini hazistahili? Kila timu iliyofuzu kushiriki inastahili kuwepo haijalishi staili ya mpira wanaocheza. Ni bora kutolewa mashindanoni ukiwa na pointi moja kuliko kutolewa ukiwa umebamizwa magoli kumi na moja.
 
Mwambieni Keshi kuwa Odemwingie na SHOLA Amoebi Mhimu waanze hii Si AFCON Kutujazia michezaji ya ndani isiyojua hata kutuliza mipira, pia Ma mipira yao marefu wanayopiga Mbele sijui wanampelekea nani? STUPID & HOPELESS NAIJA! Undeserving Aftican champ!
 
Mutu nyeusi inaingia uwanjani kukipiga na maboya. 21:00, Mutu nyeusi itakipiga na Iran napale 00:00 mutu nyeusi itakipiga na USA. Tuungane kuiunga mkono harakati ya mutu nyeusi kuchukua ubingwa

Ptuuu!
 
Haya matimunya africa bana..hawa Ghana wananikalisha machomhalafu walete mambo ya ufazaa....
 
Leo kwa moyo wote nipo Nigeria.nilifurahishwa na soka yao kwenye kombe la mabara,walicheza vizuri sema tuu,kutupia mpira wavuni ilikuwa shida.

Bora Nigeria ya kombe la mabara kuliko hii ya leo.
 
Jordan na Andre Ayew,nakesha nikiamini mtawafunga USA,mkifungwa sitaangalia tena mechi zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…