kufuta uzi kama ule yataka moyo haswa, unaweza kupoteza baadhi ya washabiki wa JF.
watu hasira zao wanahamishia kwa wote kufungwa kwa Ghana kumefanya watu waamke nazo sasa zikitolewa timu zote Africa sindio tutapigwa ban wote Humu.Waliondoka uzi huu hapa hawa mods wetu!Nalaani tabia hiyo
Huu uzi ulipotea ghafla asee nikapata mfadhaiko[/QUOTE]
pole sana..
nilijua nimepigwa ban, kumbe wote hamkuuona uzi.Huu uzi ulipotea ghafla asee nikapata mfadhaiko
Huu uzi ulipotea ghafla asee nikapata mfadhaiko
Rasmi natangaza sishabiki timu za Africa tena labda kidogo ivory cost hizi timu pasua kichwa sana utadgani taifa stars
Nilipata pressure gafla uzi huu ulipopotea.