leo sina tim sijui nikuunge mkono...mmh naogopa kuumia moyoTeam Mexico tujuane hapa
Leo Neymar amebadili nywele zake na kuweka blonde
Picha hii hapa
Africa ibakie timu 1
tu, ulaya waongeze timu nyingine 4, ikiwezekana nchi kama germny zitoe
zaidi ya timu moja iwe german1 german 2.....etc
Man of the match
ipo siku tutaiona.
Niko brazil liwalo na liwe.. pia sishabikii miafrika kuanzia leo..