Hiyo ndo Mexico nayoijua bana. Golikipa Ochoa ndo man of the Match kwangu.
mexico wana maisha mafupi sana
Brazil hii iko weak...haina what it takes to lift the cup
hahahaaah,,,,,,haya mtabiri wetu.Lakini Brazil anaongoza 100% mexico hamfungi Croatia so anaishia hapa
sawa ngoja tusubiri tuoneLakini Brazil anaongoza 100% mexico hamfungi Croatia so anaishia hapa
View attachment 165560golikipa wa mexico leo ndio nyota wa mchezo
Uchukue world cup na foward ya sampuli ya Fred?? Daah kweli nyakati zinabadilika...Huyu Fred enzi za akina Ronaldo,Rivaldo hata mazoezi hachezi..
hahahaaah,,,,,,haya mtabiri wetu.
sawa ngoja tusubiri tuone
Mpambano ulinoga....goli tu limekosekana
The game was beautiful...!
Mexico ni noma.