World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Dah, pachanya mjuvi sana wa haya mambo Mpwa wangu

Mkuu upo? Juzi toto tukutu (Balloteli) lilitupa Usingizi mtamu sana..Nilikuwa najua labda hawa Brazil watatusumbua mbele ya Safari ila leo tumeona udhaifu wao...
 
Last edited by a moderator:
Movie ndiyo kwanza imeanza ile raundi ya kwanza ilikuwa trailer .....
 
Kwangu mimi Brasil vs Mexico ndo mech bora so far
 
Mkuu upo? Juzi toto tukutu (Balloteli) lilitupa Usingizi mtamu sana..Nilikuwa najua labda hawa Brazil watatusumbua mbele ya Safari ila leo tumeona udhaifu wao...

Wapuuzi tu hawa, waombe wasikutane na ngoma ngumu ya Buluda, tutawalawiti hadharani
 
mastriker wao wote below average...fred,jo,hulk wachovu tu hawawezi kukusaidia kwenye hali ngumu

Neymar ndiye game changer na tegemezi....ila kukosa prolific central striker inawamaliza Brasil..
 
safi sana sasa kila mmoja asubiri mechi ya mwisho kupigana kufa na kupona kuvuka hatua hii maana wote wana point 4 kila mmoja

Hii imekaa poa sana mechi zao za mwisho watapgana kufa na kupona kuzihirisha mbabe wa kundi!
 
mastriker wao wote below average...fred,jo,hulk wachovu tu hawawezi kukusaidia kwenye hali ngumu

Mkuu, hii Brazil yote ukimuacha Thiago Silva, the rest hakuna hata mmoja angeitwa hata kwenye kikosi cha akiba cha mwaka 1998 & 2002
 
Kukosa prolific namba 9, inawaumiza Brasil sana...anyway, hizi timu za Marekani ya Kusini zinajuana....

Bado nipo #teamBrasil all the way to the Final...

Portugal na Ghana wameniangusha jana...

Tatizo kocha Wa Brasil alijaza viungo wengi Kati ambao wamecheza mpira butu kwa muda mrefu!

Ebu fikiria km angekuwepo Willian na Neymar na Bernald alafu kule mbele abaki Jo! Mpira ungekua mzuri sn! Na wangeshinda! Lkn ujaza viungo wengi alafu unategemea Marcelo na Alves ndio wapeleke mipira mbele na kurudi kukaba?! Wakati huo Mexico inacheza mpira Wa kasi!
 
Wapuuzi tu hawa, waombe wasikutane na ngoma ngumu ya Buluda, tutawalawiti hadharani

Wanajuana kwa vilemba hao...hivyo husijipe moyo...

Thubutu wakutane na wabiwa unga nyiye....

Timu ambayo inaweza kuitishia Brasil ni Uholanzi tu...nyiye wengine mtasubiri sana...
 
Wanajuana kwa vilemba hao...hivyo husijipe moyo...

Thubutu wakutane na wabiwa unga nyiye....

Timu ambayo inaweza kuitishia Brasil ni Uholanzi tu...nyiye wengine mtasubiri sana...

Na wanajuana haswaa, lakini sio Brazil hii
 
Wapuuzi tu hawa, waombe wasikutane na ngoma ngumu ya Buluda, tutawalawiti hadharani

Haki ya nani naombea mkutane!

Mtapigiwa mpira mpk Yule Wa Ukoo Wa Mitu Andre P babu mtamtoa nje!

Mimi siko Brasil Lkn naamini lazima muutafute mpira kwa tochi!
 
Leo Oscar amekuwa mtu wa butua?

Mimi sidhani kama setup ya timu ilikuwa ovyo (ukitoa kosa la kumchezesha Ramires)....Mexico wamekaba vizuri sana na kipa wao amewaokoa sana...
 
na wewe bana!!! sasa willian na oscar si kitu kimoja! ukiongeza ramirez na luiz ni kizungumkuti!!! world cup unacheza na watu wenye akili sio premier hii....ukimtoa neymar hao akina oscar,willian,ramirez,jo,hulk,fred wote ni average kama sio below average players.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…