Okay kila la heri.Finger crossed for spain
Spain watashinda game ya leo lakini uholanzi hapana
Team australia,,,,
Hahahaah,,,,,,,huyu sio Spain kweli,,,!!Shabiki wa team gani huyu??
Leo nipo na team 'dhaifu' australia.....Team holland
Leo jamaa zetu ndio mwisho wa safari yao
Leo nipo na team 'dhaifu' australia.....
Spain hao...
Nipo na waDutch leo,kila la heri kwao
1. Mkuu kama kunakitu cha kupigia tick basi uholanzi anashinda hilo halina ubishi.
2. Spain anachapwa sanasana akijitutumua anatoa draw.
Leo nipo na team 'dhaifu' australia.....
hahahahaa kina Simba wasiofugika,leo ni kwa heri watabakiza kutimiza ratiba tu kwa kucheza na BrazilLeo jamaa zetu ndio mwisho wa safari yao