World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Eto'o leo HACHEZI sababu anaumwa lkn hata kama asingekuwa anaumwa serikali ya Cameroon inamtuhumu kwa kuongoza mgomo wa kudai posho,kaitwa"mhaini"

Dah Africa sijui aibu hizi tutaacha mwaka gani?yaani mtu akajikaze wee WC akirudi posho zake wanakula kina "Rage" wao.....
 
Duh bora aisee maana wengine hali ilikuwa mbaya sana leo naangalia mechi zote
 
Aussie wanaujua sana bila kuwa na majina!!Huyu Cahil na uzee wake hafikiwi na foward yyt toka Afrika
 
bado Robben atupie la 3 tusubiri round ya 2.....Go Holland!
 
Golden booot ipi hiyo au ya Vodacom Premier League
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…