Hahahaah,,,,,Golden booot ipi hiyo au ya Vodacom Premier League
ila Australia nao wabishi...
Jipe matumaini.
Dah Africa sijui aibu hizi tutaacha mwaka gani?yaani mtu akajikaze wee WC akirudi posho zake wanakula kina "Rage" wao.....
HahahahahaGolden booot ipi hiyo au ya Vodacom Premier League
Wanakosa bao la wazi,upande wa 2 pili Uholanzi hawapotezi nafasi wao wanafunga
Hawa makipa wengine sasa duu, yaani ni wauza mechi