World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hahaaa nimecheka sana aisee..huyu mzee wa spain sura inataka kumdondoka...bonge la suraaaa
 
Tayari tumewakalisha spain,poor defending! casilas anageuzwa geuzwa hapa.

Yaani mabeki wanakatika hata team.ya SHIMIWI ina unafuu. Spain anang'oka mapema, na ndo mwisho wa kuwa namba1 FIFA ranks. Uhalanz pamoja ni wazuri lakini tukubali tu Spain ni looser hata kama watashinda game hii lakini probability ya kuaga mashindano ni 95%
 
Dakika 25 sasa sijaona shambulizi lolote la maana toka Spain
 
Toka saa 12 mpaka sasa tanesco wamekata umeme.Huu ni uonevu hasa msimu huu wa kombe la dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…