World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Huyu kipa ni mshenzi sana, defence yao ni shenzi sana
 
Spain wanasafari ndefu sana ngoja tusubiri tuone kama watapigana mpaka dakika ya mwisho.
 
Spain wachezaji wanapenda sana mbunyee ndo maaana magoti hayana nguvu
 
saaaaafi sana kwa heri waspaniola wc'14

World cup ina mizengwe mara nyingi bingwa mtetezi huwa anatolewa mwanzo kabisa!! Vp lakini muhongo amelegeza?? make kawanyima burudani gemu la holland lilinoga balaa
 
Hawa spain waangalie sana watapigwa goal kibao kama hawatasawazisha mida hii. Ngoja nikaangalie movie mie
 
Kusua sua kwa Spain na Brazil ndiyo ishara ya kumalizika kwa era ya mpira wa kuremba kuitawala dunia?
 
"CR7 is 100%. It's not true he's out of the World Cup. He rested after recovery training.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…