Kipa huyu ndo maana mourinho alikuwa hampangi kule madrid kwa ajili ya ushenZi wake huu
Kwani ngapi ngapi?
1-0 spain kapigwa dakika ya 29 hivi sasaKwani ngapi ngapi?
tuko pamoja ba kidawa yupo spain imebidi niondoke nichezee mchina wangu
Hivi umemuona Ruttashobolwa na my wii Bantu lady ...mi nimepitwa na mechi ya saa Moja.but am now ready to kill the night... The Boss babe come closer the match is about to start.
World cup ina mizengwe mara nyingi bingwa mtetezi huwa anatolewa mwanzo kabisa!! Vp lakini muhongo amelegeza?? make kawanyima burudani gemu la holland lilinoga balaa
Hii yaleo sio ya ufunguziAibu sana hii haiwezekani timu imechukua makombe makubwa ifungwe mechi mbili zote za ufunguzi
jamaa hana lolote anakwepa aibu.
Mimi nataka ushindi tu haiwezekani timu nzuri zitoke mapema yote hii
Hii yaleo sio ya ufunguzi
Kwa nini isiwezekane kama wanacheza vibaya.Aibu sana hii haiwezekani timu imechukua makombe makubwa ifungwe mechi mbili zote za ufunguzi
Dakika ya 30 Chile 1-0 Spain