Dah ngoja nikalale mie maana hapa sioni kitu mbu wanangata kweli kweli
Spain Manager:
Kalale usije pata Dengue bureHivi ni kweli mbu wananingata au ndio dozi ya magoli? Timu nyingi ninazoshabikia hazishindi
Hawapendelewi,ila sema walikuwa vizuri,Sasa yanawakuta yaliyowakuta France 2002 kule South korea na Japan
Real Madird si wapo wachezaji wao kina Ramos.Kutetereka kwa barcelona ndio kumesababisha na hii timu ya taifa ya 5pain kuwa ovyo.
Mpaka sasa timu yenye magoli mengi ni Holland 8 sasa Chile wanataka mfanya Casillas awakute Holland
Afadhali dada yangu.wapo ba kidawa wangu yani anawatetea hatari mpaka watoto analazimisha waipende mi sipendi.
Kipigo ndio kinamkimbiza hamna mbu wala nini.Kalale usije pata Dengue bure
Kalale usije pata Dengue bure
Real Madird si wapo wachezaji wao kina Ramos.
Nishafika kitandani bora nilale kesho niwahi kazini.
Dakika ya 40 matokeo bado Chile1, Spain 0 alonso anakula yelo kadi!