Barcelona ndo Spain kwa kweli. Kwa kuwa Barca imeshafulia tegemea kabisa Spain kwishneyyyy
Halafu kipa wa Australia hamna kitu kabisa,ila defence yake ndo inamsaidia
Usiku mwema kesho Spain akishinda mtanambia, akifungwa basi
Hureeeeeeeeee kitu Chileeeeee
Usiondoke la pili hilooooo
Spain kafungwa la piliNani kafunga nasikia watu nje wanashangilia ?