AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Ni kweli mkuu, hawa Cameroon wamebaki jina tu na I'd be surprised wakiambulia hata sare leo. Soon watachomekwa bao kama sio mabao. Refa keshawabeba mara mbili lakini naona hawabebekiCameroon imebakia jina tu. Ingekuwa ngozi nyeusi ndiyo tumenyimwa hayo magoli kilio chakeeeeee weeeeeeeeeeee! Tungelia ubaguzi ubaguzi leleee leeeee rangi nyeusi sijui ya bluuuu.
ndio tabia yetu kuona tunaonewa au timu zengine European tutalalamika haina mtu mweusi mbona hautolalamiki Taifa Stars haina Muhindi na kunawazaliwa wakihindi au Wenzetu ukiwaacha South Africa Namibia wanawapanga wazungu.Cameroon imebakia jina tu. Ingekuwa ngozi nyeusi ndiyo tumenyimwa hayo magoli kilio chakeeeeee weeeeeeeeeeee! Tungelia ubaguzi ubaguzi leleee leeeee rangi nyeusi sijui ya bluuuu.
hujui football wewe!jibu swali...hivi Olic alitolewa?Asiewajua the Selecaos kwenye ulimwengu wa soka ni nani?
Brazil jana walikuwa very average na unless wa-improve, otherwise wakiendelea kucheza kama jana basi round of 16 itakuwa ndio mwisho wao
Wewe brazili sijui brazuka hamna kitu limebaki jina tu.
Mark my words, dude
Nakuambia brazil ana chukua kikombe hiki kama vipi tuwekene mzigo hapa mods wawe mashahidi.
Na kwa bahati mbaya kundi alilopo ni gumu.
Mexico maboya tu yanafungika cameroun watulie pale mbele
usiweke nadhiri kwenye probability