Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Umeona sasa hawa ndio Tembo au kanga?
Halafuuu ww! Ningekuwa karibu mmmmh
Hahahahivi tumerudisha ama
Hahaaaa nacheka kwa hasira Heaven on Earth ungekuwa karibu yangu sijui
Huyo tushakuzoea unasikilizia haya #TeamEngland Leo SG anateleza au anamvunja Suarez hili ndio nataka litokee ili LFC nione nani watamtetea? Manake akivunja Rooney watu wa LFC bila Shaka nchini England watasahau kama wanashabikia England. Ila zaidi ya hapo England to win.Poleni waafrika, maana mimi ni nusu huku nusu huko.
Duuu shamba la bibi.
Asante ila jana nililala vibaya, leo pia nalala vibaya sijui bundi
Toa wasi wasi kijana,England HAWEZI fungwa leo!!
Poleni waafrika, maana mimi ni nusu huku nusu huko.
hhaha inatia hasira sana nimekata tamaa kabisa
Huyo tushakuzoea unasikilizia haya #TeamEngland Leo SG anateleza au anamvunja Suarez hili ndio nataka litokee ili LFC nione nani watamtetea? Manake akivunja Rooney watu wa LFC bila Shaka nchini England watasahau kama wanashabikia England. Ila zaidi ya hapo England to win.