World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Sturridge, sterring, welback wanafunga leo na litakalo tia fora Rooney anafunga goli lake la kwanza WC
 
Hivi mbona mods anaunganisha nyuzi zote za world cup kwenye uzi mmoja wa zamani..waache tufanye uchambuzi wa kila mechi na matukio ..!!!!
 
Suarez hatomaliza dk 90 kama sio dk 45. Joe Hart huyu anaweza kuwachekesha Uruguay muda si mrefu.
 
hizi timu za Africa perfomance yake kama ya CCM hakuna kusonga mbele

Wazee wa tunakabiliana na changamoto, bora hizo timu ccm haijawai fikia malengo.

Back to the topic, Uruguay siipendi ila England inafungwa.
 
Gundu la Rooney na World Cup sijui litaisha lini...?km kalala na Bundi!
 
Inaelekea England wote macho yapo kwa Suarez, jamaa akiwaliza sijui kama watamruhusu arudi kisiwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…