Sterling atoke aingie Lampard mapema sana la sivyo itakula kwao Uingereza!Anapoteza boli kiurahisi sana
Tatizo la England mnashangilia ushindi kabla hamjafunga hata goli moja. Unakumbuka World Cup 1998? Inaelekea wapenzi wengi wa England wana DNA ya Arsenal na Man utd.
Sterling atoke aingie Lampard mapema sana la sivyo itakula kwao Uingereza!Anapoteza boli kiurahisi sana
Godin has to go out!Ile ni second yellow card na atoke ilitakiwa
Kama tim ya England wanamchezaji mmbovu basi ni Welback. Namuomba LVB aniondoashee huyu mtu kabla msimu wa maumivu haujaanza
Rooney hatavunja mwiko wa kutofunga goli World Cup LOL