World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Minjino Kashawaliza.. Hatopewa visa hahahahahahahahahah...
 
Mechi imekwendaje hadi sasa jamani?nasubiri mamkwe akalale,wako na wife sebuleni na hii mipicha yenu ya kinigeria.wanachekaa,mwenzao nimefura chumbani ah!
 
Inaelekea linaweza kurudi kabla ya HT. Wanashambulia kinoma, hizi kona zinaweza kuwapigisha kelele
 
Kuna timu za kuiamini lakini sio England, timu gani hata wenye timu hawaiamini.
 
Uingereza majanga hakika, hawana tofauti na Espana.
 
Dah Njino kaanza kucheka Kabla hata kupiga kile kichwa England wasimruhusu kuingia England tena afukuziwe mbali anaharibu siku Come On Rooney.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…