World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Leo wanaume tunaanza likizo ndefu ya mwezi mzima, ma mamsapu mtusamehe bure. Ni kama kule unyamwezini huwa kuna kitu wanaita fishing opener, wanaume huwa wanapotea wiki nzima wakiloa samaki, huku wake zao nao wanabaki wanafanya yao. Ha ha ha!.
 
TBC wanaonesha marudio ya fainali huko S.Africa.

hawa jamaa hawakawii kuonesha hii game hapo sa5.
 
Niko kwenye Tv still now mpira haujaanza...ni ful maongezi tu wananiboa.
 
Wanamtafutia mwingereza mlango wa kutokea.Tunapiga tu hata uwanja ukiwa na miiba.cc@mourinho shifta

Mzee mwenzangu, tutawabaraza hao wapiga kelele kama kawaida yetu, Pirlo kashawapa onyo. Wakipita hatua ya makundi watakua na bahati sana
 
Last edited by a moderator:
Kuna tv ya angola sijui msumbiji inaitwa tv1 wapo uwanjani sahv
 
Jamani mechi ikianza mnishtue asee! Nalala kiduchu!
 
Ebwana kama tuko pamoja unaonaje,!? Mi binafsi nafurahishwa na hii michezo inayoendelea..kabla ya mechi ya ufunguzi..daah!!
Inapendeza sana!
J.lo ndani ya nyumba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…