World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

England wanatafuta counter attack moja tu,wakiipata hiyo,patachimbika hapa.Uruguay nao wanawaza hivyo Suarez la pili..
 
Huyo ndiyo suarez aliwaambia waandishi wa habari kuwa yeye anajua namna ya kuwafunga egland
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…