Mleta uzi hapo kwenye heading badili neno xana liwe sana, hata kama wewe ni mmng'ati
Pirlo ana aga leo,tutamkumbuka sana hasa ukizingatia hii ndiyo mechi yake ya mwisho!Tuta ya miss madambwi dambwi yake
Mkuu, Italy ni tim imara sana.
Usitarajie itafungwa na uswis.....
Mkuu, Italy ni tim imara sana.
Usitarajie itafungwa na uswis.....
Ni Costa Rica,sio uswis.
Mkuu nimestuka nikajua na sisi tutakuwa waandaaji kwa mara ya kwanza,
msiwe mnatutisha na vichwa vya habari vya namna hii