World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Costa Rica fanyeni mambo hapo cha pili faster, kuna watu wana mabegi mkononi.
 
Italy fungeni hao Costa rica,au joto linawasumbua?sasa kule Qatar si ndo mtayeyuka kabisa
 
Master of free kicks naona anaenda kupiga foul
 
No 7 wa Costa Rica ana mbwembwe huyo sana.
 
Italy fungeni hao Costa rica,au joto linawasumbua?sasa kule Qatar si ndo mtayeyuka kabisa

Tunashukuru mkutano mkuu wa FIFA November hii wanaiondoa Qatar kama host kombe la dunia 2022!Qatar walitoa rushwa na itatangazwa upya nafasi hiyo
 
Poor Europe! Walidhani kuwa historia ndo inacheza mpira!
 
italy wanacheza mpira wa mchangani na ubaguzi, wakimtoa baloteli ndio wataanza kupiga ile mipira ambayo baloteli huwa anaitokea na kufunga.
 
Costa rica wamepangwa na timu ambazo zote zilishawahi kutwaa ubingwa wa dunia...na zote zipo kwenye top ten ya fifa ranks..big up to them
 
Balotel anakula yanjano kwa utovu wa nidham, kamkamata begani beki kwa mikono kumzuia asifate mpira,

Note, huu ni mpira wa miguu tena sio Mpira wa rugger
 
dk 71 mchezaji wa costa anapewa kadi ya njano, kwa kuiwia free kick isipigwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…