Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Mpaka sasa wamemkalisha mtu mzima.Vipi Iran wameresist?
Messi si lolote..mxxxxiii
Gooooooo mesiiiiiiii
Bao la asubuhi linauma sana, japo tamu.
kudadadeki
naomba wasiwafunge Iran kwakweli wamejitahid kuzuia wakifungwa nitasikitika
kafanya nini?nakosa uhondo jamani
Messi kaokowa Jahazi tehtehteh nilisema Leo kazi ipo Katavi na Belo.Masikini Pazi ajiandae kuandaa id mpya.
Messi Barca sio huko kwao, full of dissapointments
Hiki kujamaaa ni hatareeeeee