World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

German kama si ubingwa, basi japo fainali itacheza. Ni timu nzuri hasa ikiongezewa nguvu na marefa wanaopenda kupendelea ulaya. Lkn je kombe litavuka bahari kutoka kwa walatino?
 
German kama si ubingwa, basi japo fainali itacheza. Ni timu nzuri hasa ikiongezewa nguvu na marefa wanaopenda kupendelea ulaya. Lkn je kombe litavuka bahari kitoka kwa walatino?


Dalili za kumbe kubaki kwenye hilo bara hadi sasa ni kubwa sana!

Ila bado kuna nafasi ya maajabu kama ambavyo tumeshuhudia timu kama Spain zinadhalilishwa!1
 
German kama si ubingwa, basi japo fainali itacheza. Ni timu nzuri hasa ikiongezewa nguvu na marefa wanaopenda kupendelea ulaya. Lkn je kombe litavuka bahari kitoka kwa walatino?

Hapo kwenye kuvuka bahari I doubt
 
Ghana wamecheza vizuri sana sana

Hilo halina ubishi mkuu,game ile pale ni kama ilivyokua England na Uruguay,Ghana angekua anacheza na England kwa mpira aliocheza leo angempiga hata 4..mpaka sasa mjeruman hajaamin kilichompata tena anashukuru ametoka sare..sio siri game zote dhidi ya Africa nimeangalia ila sijaona mpira mzuri kama waliocheza Ghana leo,kwanza wachezaji wana nidham ya mpira na wanacheza ki-team ila A Ayew ajiangalie anaigharim timu some time,mchoyo wa pasi tatizo anataka afunge yeye tu.
 
Huyu hatazami mpira yuko kwenye vigodoro ana comment mambo ya mpira hapa

Mkuu hujakosea kabisa,niko juu ya sofa iliyotengenezwa kwa magodoro sebuleni kwangu, nawatazama akina Sammy Kuffor,Shaun Bartlett,Jay Jay Okocha na wenzao wa Supersport wakiuchambua huu mchezo,wakionyesha highlights za mchezo,wakionyesha reaction za waghana huko kwao kila goli lilipofungwa,etc.nakumbuka picha za mwisho uwanjani zilimwonyesha Muller akiwa kalala chini anavuja damu,huku Andre Ayew akiwa amekaa chini analia,sasa hivi wanamwonyesha Gyan akihojiwa.mkuu soka ni sehemu kubwa ya maisha yangu.i've been watching these games live since world cup 1990,sasa jiulize kama miaka hiyo bongo kulikuwa na any live coverage ya WC!na nimeucheza mpira hadi nimechoka Mourinho
 
Last edited by a moderator:



Teh Teh Teh Teh

Mkuu achana na hayo Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Hawa nigeria kama wanaweza kunitesa nisilale kwa raha
Maana hawa jamaa hawabadilikagi miaka yote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…