World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Team Howard ndiye keeper bora duniani kwa sasa hiyo haina ubishi!!
Ingekuwa Enyiama sasa ingekuwa 4-0
 

Goal difference Mkuu
 

Wataangalia goal difference baina ya timu husika.

Mkuu Malafyale hiyo super save from Tim Howard nahisi binti yetu kafarijika sana...otherwise ilikuwa iwe 2-0!
 
Last edited by a moderator:
Germany aki draw na USA atakuwa na points 5 so ataongoza kundi
 
Timu zetu za Africa utata mtupu,Portugal wanaweza wakashinda hii halafu unashangaa siku ya game ya mwisho Ghana wanaamka vibaya
 
Jamani mnamkumbuka yule beki wa South Africa akiitwa Issa alivyokuwaga anamfunga kipa wake Andre Arendse back in 1998 WC France?
 
Brazil hatuondoki kama Spain wala Italy wala Uingereza!Nasema hivi USA inasonga mbele kundi hili
 
Zile imani kuwa Marekani haijui soka zitauliwa baada ya World cup hii . vipi mbona mpira umesimama kwa muda palikuwa na radi nini ? naangalia ktk television ya kispanish sielewi kinachoendelea

Nimesikia wanasema official water break.
 
Mexico's knees will be shaking, taunts Croatia boss Kovac
 
Wanapoangalia goal difference wanaangalia ya kufunga kwanza halafu ya kufungwa?au ya kufungwa then ya kufunga?

What do you understand by the term "goal difference" mkuu?

Hint: Difference is obtained by subtraction... ie unachukua magoli ya kufunga unatoa ya kufungwa.

Karibu kwa swali lingine kama lipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…