Leo naona Spain wanaweka heshima bar
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamChile]#teamChile [/URL] tumepoteza, lakini si mbaya waleteni hao brazil.....
Sasa England watazuia ,timu zao kusajili wageni,kwa kisingizio kuwa wanaua vipaji vya wazawa
Leo naona Spain wanaweka heshima bar
sasa hivi nilitaka kuuliza [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamChile]#teamChile [/URL] wako wapi?? niliwaona mechi ilivyoanza tu!!
Ahsante Chile kwa kutuumiza mioyo.
Ni mapema mno.Holland watachukua hili kombe..
Holland watachukua hili kombe..