Baba Kelvin
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 788
- 139
Mhh! Wameanza kwa kasi kweli,the elephant tulieni kufeni kishujaa
Hawa wa taifa stars hata wimbo wenyewe kuuimba huenda hawaujui......Hivi kuna mchezaji wa taifa starz anaweza kuimba national anthem kwa hisia kama Luiz au T.Silva.
Unajitafutia stress......Brazil piga hao kameruni goli nyingi tu.
wewe unatafuta stress tu..
Ntafurahi sana hawa simba wakimtibulia brazil!!
Hivi kuna mchezaji wa taifa starz anaweza kuimba national anthem kwa hisia kama Luiz au T.Silva.
My mtani Ruttashobolwa popote ulipo jua nakuhitaji hapa.
Leo wamenichanganya kwahiyo nipo #teambrazil # #teamcameroon #
sasa hawa TBC ndio nini kuonyesha game moja kwenye chaneli mbili yaani tbc1 na tbc2 wanaonyesha game hio hio cameroon vs brazil!!!!
Atoke wapi?