World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Fred kanichekesha,alifikiria kafunga anainua kichwa kuangalia nyavu hola
 
Wewe si mbrazil mbona wataka kuwa kotekote?

Hujui tu leo nilivyo na wakati mgumu luv, najikaza tu ni kama nimeambiwa kati ya baba na mama unamchagua nani.
Brazil naipenda sana na ndio timu yangu,.Cameroon ni kati ya timu za Afrika ninazozipenda.
Acha niwe kote kote tu. Mkataa kwao ni mtumwa.
 
Ilinikera kwa sababu haikuwa mechi ya kufungwa ile, Spain hawakuwa wazuri hivyo. Hivyo hivyo nahisi ndiyo yatakayotokea wakati usiotarajiwa, hasa kama watakutana na timu dhaifu ya Brazil.

Usijidanganye brasil ni timu nzur kuliko german/holland
 
washavuta bangi zao ndio wanakuja uwanjani!!!
Song aliniudhi siku ile alivyompinga ngumi mcroatia,na wale walivyogombana,nikijumlisha na walivyokuwa wanadai Posho,hawa wana matatizo
 
Brazil hawatofika robo fainal,kudadeeki Cameroon kaona nyavu zao
 
Cameroon haishindi hii gemu.

Hawana nidhamu kabisa!

Subirini Brasil wacharuke muone....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…