huyu dogo matip hii rangi kaitoa wapi!
huyu dogo matip hii rangi kaitoa wapi!
Brazil hawatofika robo fainal,kudadeeki Cameroon kaona nyavu zao
Miili gani mliyojaliwa?
#TeamBrazil ni vibonde tu hata leo wakishinda washaonyesha udhaifu mkubwa sana........
Hahahaha! Nguvu sina hata mkwara!!!
Song aliniudhi siku ile alivyompinga ngumi mcroatia,na wale walivyogombana,nikijumlisha na walivyokuwa wanadai Posho,hawa wana matatizo
Labda ni shombe....baba au mama mzungu...