World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Italy wamekosa fowadi tu leo naona wamejipanga kidogo na kiungo kiko vizuri ,sijui aingie nani sasa! huyu baloteli naona anapaka hina tu humu.
 
Hizi mechi bana.
Italy na Uruguay wote wanagombania nafasi ya pili
 
Italy wamekosa fowadi tu leo naona wamejipanga kidogo na kiungo kiko vizuri ,sijui aingie nani sasa! huyu baloteli naona anapaka hina tu humu.
Shida ya balotel uhuni umemzidi kila kitu kiburi na bangi.
 
tanesco tunashukuru kwa mlichotufanyia tulijua mtarudisha baada ya dk 5 lkn had sasa holla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…