World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Sijawahi kuona mijitu mijinga kama hii ya Côte de Voire...imbeciles!
Yaani mtu unacheza karibu na goal lako,halafu unarembesha namna hiyo,wamefungwa kijinga sana,sijui ni kujiamini kupita kiasi?majanga
 
Mimi nawaangalia tu wachezaji wa Ivory Coast wakati mpira haujawafikia, ni kama vile hawana habari hapo uwanjani wanafanya nini. Wanapopewa pasi ndio wanazinduka kama vile walikuwa usingizini, hawajui wafanye nini na hiyo pasi kwani ni kama vile wanashangaa mpira kuwajia. Sasa kwa sababu hawakujitayarisha hapo ndipo wanaanza kuhangaika waufanyie nini huo mpira au waupeleke wapi!
 
Yule mchambuzi wa soka wa Africa Mamaduu Gaye alisema "hakuna timu yoyote kutoka Africa itakayo ingia 16"
Yameanza kutimia sasa.
 

yaaani mpaka sijui hawana mzuka kabisa
 
Yule mchambuzi wa soka wa Africa Mamaduu Gaye alisema "hakuna timu yoyote kutoka Africa itakayo ingia 16"
Yameanza kutimia sasa.

Habari Ndugu SaaMbovu Iliyopatia Majira?
 
Last edited by a moderator:
Dakika zinayoyoma jamani, warudishe hili goli basi!!!! aaahhhhhh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…