Nasikitika sana sikutegemea kipigo kama hiki.....
Mbona Ndio mpira wenyewe. Me uzuri ni mshabiki mkomavu sio mshabiki maandazi wa kuangalia nani anafunga Ndipo nishabikie
Hv WC hii unashabkia timu ipi mkuu?
Jamani updates mlioko luningani, leo mwenzenu sijahudhuria mechi